Wazazi katika shule anayosoma mtoto wa beyonce na jay z huko hollywood nchini marekani wamechukizwa na kitendo cha blue ivy kuchukuliwa na kupelekwa na magari sio chini ya mawili na bodguards kila siku
wazazi wengine wameona iyo ni kero kubwa kwani mtoto huyo anabaki akishangawa na wenzake kila mara anapofika shule
japo shule niya watu wazito ila kwa blue ivy imezidi

No comments:
Post a Comment