Hii ni moja ya filamu kali ya kimarekani inayo kubadilika pande nyingi za dunia.Japo waigizaji wa filamu hii wamempoteza mmoja wa muigazaji mwenzao karibuni ila bado wanajitahidi kufanya juu chini ili kuwafurahisha mashabiki zao hivyo wame amua kutoa filamu nyingine FAST 7 ambayo ita achiwa rasmi tarehe 4 april
No comments:
Post a Comment