politics

Saturday, 28 February 2015

Kitu gani kinamtofautisha Diamond Platnumz na wasanii wengine Tanzania:DIAMONDPLATNUMZ!!!!!




Mafanikio makumbwa ya msanii wa Afrika kutoka Tanzania ..Nahseeb Abdul(Diamondplatnumz)
Yamewafanya watu wengi wakiwemo mashabiki na wapenzi wa muziki Afrika na duniani kutochoka kumwangalia kijana huyu ambaye ni incredible indeed...
kutoka katika maisha ya kimaskini katika mji wa Dar es salaam...kijana huyu mtafutaji na muangaikaji...amepitia vikwazo vingi,ambavyo vilimjenga na hadi sasa hivi kuwa kati ya wasanii wakali barani Africa.Labda tusizunguke sana na twende moja kwa moja kwenye Topic hii...Je?..ni kwanini msanii huyu niwa tofauti sana barani Afrika na Tanzania pia...na kwanini kijana huyu anamaendeleo...na nivipi anafanya vizuri na kumaintain status zake na kuwafanya wasanii conservative wa Tanzania..wawe bumbu wazi...?....Majibu yako ni haya hapa:
1.Kujituma, kujitoa,na kutokata tamaa kwa huyu msanii wa kitanzania...Toka aanze muziki wake alikuwa hana uwezo wakifedha wala support kubwa sana..lakini kutokana na juhudi zake..na  sacrifies alizozifanya kwenye maisha yake imemfanya afike mbali katika muziki wake na kuwa mfano mkubwa mbele ya wasanii wenzake nchini Tanzania.
2.Ubunifu wa mwanamziki huyu pia unamfanya awe msanii mkali Tanzani.Ukiangalia mashairi na nyimbo zake kuanzi Kamwambie,mbagala,lala salama,moyo wangu,ukimwona na nyingine nyingi...kupitia ubunifu na style yake yakuimbia..msanii huyu amekuwa watofauti sana na kuwa wa pekee katika nyimbo zake na kazi yake ya muziki kiujumlaa.
3.Maelewano mazuri na Mameneja na uongozi wake.
jambo ili limemfanya Diamond platnumz,aweze kuwa msanii wakuigwa..ukiwa na mahusiano mazuri na meneja na uongozi wako ..basi lazma utafanikiwa tu..kwani hawandio wanao kutambulisha na kukuongoza katika safari yako ya mafanikio..
4.Kujielewa na kujua anataka nini katika nyimbo,video na maisha.
..Hii ni tofauti na wasanii wengi Tanzania..ambao wakisha pata fedha chache basi ujikuta kama mabilionea..nakuanza kutanua na starehe...jambo ambalo lina wafanya wasiendelee katika tasnia zao za muziki...hiki nitofauti kwa msani wetu Diamond kwani yeye hajarizika na mafanikio yake madogo...kila siku ya mungu kijana huyu ujituma na kutafuta opportunities mpya katika muziki na video zenye quality na plot nzuri...jambo amabalo limemfanya afike kwenye chanel za luninga za mbali kama Trace International,BET,Channel O,na nyingine nyingi duniani...

5.Kujitoa na kutodharau ushauri anaopewa nakuheshimu wasanii wengine.
......Huyo ndo diamond platnumz Tunamuombea safari ndefu na yenye mafanikio maisha ni mwake....

No comments:

Post a Comment