
Sasa pamoja na utajiri wa magari
aliokuwa nao Mayweather ameamua kumnunulia binti yake wa kike mwenye
miaka 14 gari ya kifahari aina ya
Rolls Royce yenye thamani ya dola za Kimarekani laki nne.

Binti yake
Obi Okeke
alifafanua kuwa baba yake alimwita na kumwagizia gari hiyo huku akisema
itakuwa ikisimamiwa na mama yake lakini mtoto huyo atakua huru kuitumia
wakati wote.

Mayweather na mtoto wake.
No comments:
Post a Comment